Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan
Omar kushoto akikabithiwa nyaraka na Katibu Mkuu Mstaafu Ali Mwinyikai
katika makabidhiano ya Ofisi yaliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya
Habari Utalii Utamaduni na Michezo Kikwajuni Mjini Unguja.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan
Omar kushoto na Katibu Mkuu Mstaafu Ali Mwinyikai wakitiliana saini
katika makabidhiano ya Ofisi yaliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya
Habari Utalii Utamaduni na Michezo Kikwajuni Mjini Unguja.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Amina
Ameri Issa kulia akikabidhiwa nyaraka na Naibu Katibu Mkuu Mstaafu Issa
Mlingoti katika makabidhiano ya Ofisi yaliofanyika katika ukumbi wa
Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Kikwajuni Mjini Unguja
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan
Omar akitoa nasaha zake kwa Wakurugenzi na Watendaji mbali mbali
waliohudhuria katika makabidhiano ya Ofisi yaliofanyika katika ukumbi wa
Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Kikwajuni Mjini Unguja
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar
Hassan Omar mwenye koti na tai akiwa katika Picha ya pamoja na Naibu
katibu Mkuu wa Wizara hiyo Amina Ameri Issa pamoja na Wakurugenzi na
Watendaji wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Kikwajuni
Mjini Unguja.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...