Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Dar es salaam, Henry Kileo akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo juu ya mikakati mbalimbali ya chama hicho kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Dar es salaam, Benard Mwakyembe.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Dar es salaam, Benard Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari juu wananchi wanavyokosa habari wakati bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuto kuonyesha matangazo ya chama chao
(Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...