Miaka saba imepita toka
ulipotuaga tarehe 15 April 2009 na kuzikwa nyumbani kijiji cha Buhangaruti,
Mugana Catholic Parish, Bukoba.
Unakumbukwa daima na mume wako
Dr.F.C.Kahabuka, wanao Anna, Oliva, Mary, Prim, Pelagia pamoja na wakwe zako na
wajukuu, ndugu, majirani na marafiki na wote tunazidi kukuombea upumzike mahali
pema huko peponi, Amina.



Tunakukumbuka Mama yetu kwa upole wako na upendo wako uliyokuwa nao kwa watu. Pengo lako halitafutika kamwe. R.I.P
ReplyDelete