Mtafiti wa magonjwa mbalimbali Dkt Ahmed Kalebi akizungumza na madaktari na wauguzi kutoka katika Hospitali mbalimbali za jijini Arusha,wakati wa warsha iliyofanyika katika jengo ilipo Benki ya ABC
Mganga Mfawidhi wa Hosptali ya mkoa wa Arusha,Mt Meru ,Dkt Jackline Urioh akizungumza namna ambavyo watashirikiana na Lancet Tanzania Ltd katika kutumia maabara ya kisasa iliyofunguliwa jijini Arusha kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa magonjwa mbalimbali.
Mtafiti Dkt Ahmed Kalebi (kulia) akimshukuru mganga mfawidhi Dkt Jackline Urioh mara baada ya kutoa neno kwa niaba ya mganga mkuu wa mkoa katika warsha hiyo iliyoenda sanjari na ufunguzi wa maabara ya kisasa ya Lancet.
Mmoja wa Madaktari waliohudhuria warsha hiyo akiuliza swali .
Washiriki wa warsha hiyo wakifurahia jambo mara baada ya kupata maelezo mbalimbali kuhusu magonjwa ya Saratani na Kisukari.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...