Naibu Waziri Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura (kulia) akipokea moja ya kazi ya Kikundi cha Albino Revolution Culture Troup kutoka
kwa Mkurugenzi wa kikundi hicho Bw. Titto Mtanga wakati walipomtembelea ofisini kwake kuzungumzia changamoto mbalimbali zinazowakabili walemavu
katika kutekeleza majukumu yao ya kisanaa.
Naibu Waziri Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Mh. Anastazia Wambura (kulia) akiongea na wasanii wa kikundi cha sanaa na utamaduni cha Albino Revolution
Troup kutoka Wilayani Temeke walipomtembelea ofisini kwake kuzungumzia changamoto
mbalimbali zinazowakabili walemavu katika kutekeleza majukumu yao ya kisanaa, kulia kwa
naibu waziri ni Mkurugenzi wa kikundi hicho Bw. Titto Mtanga.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...