Pamoja na jitihada za Serikali kuhamasisha Wananchi kutoka katika maeneo Hatarishi Mabondeni, ambayo kwa kipindi cha mvua huathirika zaidi. Wananchi wa baadhi ya Maeneo ya Mabondeni, husuan eneo la Mto Msimbazi wamepatwa na adha kubwa kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Dar es Salaam.Katika picha ni baadhi tu ya maeneo yaliyoathirika.Athari hizo zimeonekana katika maeneo mbalimbali kama vile Jangwani,Mbezi Beach,Tandale kwa Tumbo.
Home
Unlabelled
MVUA ILIVYOATHIRI WANAOGOMA KUTOKA MABONDENI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...