Mchungaji Sostenes Langula wa Kanisa la Evangelist Assemblies of God (EAGT) la Kiluvya Malango ya Mbinguni (kushoto), akifungisha ndoa hiyo.
Bwana harusi Joseph Haule akimvika pete mke wake Delphina Mgesi wakati wa kufunga ndoa yao.
Bibi Harusi Delphina Mgesi (kulia), akimvika pete ya ndoa mume wake Joseph Haule.
Kaka yake Bwana harusi (mwenye suti katikati), akimtambulisha Joseph Haule kwa ndugu zake na mke wake. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...