Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii leo, inaeleza kuwa Mwili wa Marehemu Onawembo Ngongo a.k.a Ndanda Cosovo aliewahi kutamba sana katika Muziki wa Dansi hapa nchini kupitia Bendi za FM Academia na Stono Muzika, utahifadhiwa kwenye nyumba yake ya milele katika Makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es salaam kesho Aprili 13, 2016. 

Taratibu zote zitafanyika kuanzia kesho hiyo asubuhi ikiwepo misa ya kumuombea marehemu, kwenye nyumba ya zamani ya Balozi wa Congo nchini, iliopo maeneo ya Kinondoni Hananasif, jijini Dar es salaam.TAARIFA ZAIDI TUTAENDELEA KUJUZANA KADRI ZITAKAVYOKUWA ZIKITUFIKIA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...