Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (wapili kulia) akizungumza na Mkaguzi wa Chakula kutoka Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Dk Itikija Mwanga (kulia) wakati yeye na Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba (hayupo pichani) walipotembelea Machinjio ya Vingunguti Dar es Salaam jana. Kushoto ni Naibu Meya wa Ilala na Diwani wa Vingunti, Omary Kumbilamoto na wapili kulia ni Mbunge wa Segerea, Bona Kaluwa
mawaziri hao wakiendelea na ziara yao ya kukagua mazingira ya machinjio hayo.
Hapa ni sehemu ya kuhifadhia nyama na kuuzwa ambayo nayo imelalamikiwa kuwa vyuma vyake vuina kutu na pia ni makosa kuuza nyama katika machinjio.
Kutu ilivyo katika vyuma hivyo.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba wakijadiliana jambo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...