Naibu Meya wa Manispaa ya Temeke, Feythar Salum akionyesha mtalo kwa watendaji na baadhi ya Madiwani wa Manispaa hiyo katika ziara yake iliyofanyika Chang’ombe Polisi jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Property Internationa, Abdul Haleem (mwenye pama)akizungumza na Madiwani pamoja na watendaji wa Manispaa ya Temeke juu ya kusaidia Manispaa hiyo katika sekta ya elimu kwa dhamira ya kumuunga mkono Rais Dkt. John Pombe Magufuli jijini Dar es Salaam.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...