Watu kadhaa wamenusurika kufa, baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria mali ya Shirika la Ndege la Auric Air kupata ajali katika Uwanja wa Ndege wa Manispaa Bukoba, Mkoani Kagera ilipokuwa ikitua. Ndege hiyo ilikuwa ikisafiri kutokea Jijini Mwanza ,tukio limetokea majira ya saa nne asuhuhi ya leo Jumamosi April 30, 2016. Chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana mpaka sasa. Pichani ni Rubani wa Ndege hiyo akiwasaidia abiria wake kutoka kwenye Ndege hiyo. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Poleni mlionusurika hivi vindege udogo wake tu unatisha ni vizuri haikuwa kwenye maji. Auric nunua ndege kubwa kidogo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...