Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Magufuli ni bora amshirikishe Prof. Shivji kuwa mshauri wake. Anaelewa vizuri sana mwelekeo gani nchi inatakiwa kufuata. Tanzania shuld be proud to havesuch a guy like Prof. Shivji as nationalist.

    ReplyDelete
  2. Uchambuzi wa prof unasisimua. Nionavyo mimi shida yetu moja kubwa ni kwamba miaka baada ya miaka twaambiwa kuwa sisi ni masikini, na tukaanza kuamini kuwa sisi ni masikini.We knew our place.This land is blessed beyond belief.Kama tukipata viongozi walio na nia ya kuwainua wananchi kutoka kwenye vumbi na majivu, tutaenda mbali sana.Wajukuu zetu watakua katika nchi nyingine kabisa.

    ReplyDelete
  3. Prof ametaja jambo ambalo nililisikia kwanza Makerere 1960.
    Katika majadiliano ya siasa mwana economy mmoja alisema kwamba geographically Tanganyika is placed where it can control the trade and economy of all the land locked countries surrounding it.Na akaendelea kusema kuwa bandari zake na njia za reli zinaweza kuiletea nchi mapato makubwa kuliko hata migodi ya dhahabu na alimasi.I dont think I really understood what he was saying.
    ibrahim

    ReplyDelete
  4. Tujifunze kutokana na makosa yaliyofanyika katika awamu zilizopita kuhusiana na nafasi ya sekta binafsi (utoaji wa huduma (service sector) na uzalishaji wa viwanda (manufacturing). Ukweli ni kwamba ili ajira ziongezeke uzalishaji nao lazima uongezeke maradufu, huduma zitolewe na masoko ya bidhaa yawepo. Nidhamu ya kufanya biashara halali pia ni muhimu ikiwemo kulipa kodi. Uwekezaji katika viwanda na huduma viongezeke lakini tushughulikie kushusha gharama za uendeshaji na kuondoa vikwazo vya kuanzisha biashara, ikiwemo upatikanaji wa huduma kama nishati nk. Hizi ni sababu zinazosababisha wakati mwingine bidhaa zinazozalishwa ndani na malighafi yetu kuwa ghali kuliko zinazoingizwa kutoka nje. Uzalishaji viwandani na utoaji huduma katika sekta binafsi unahitaji soko la ndani na la nje ili visifungwe. Sera ya serikali ya kudhiniti matumizi ya serikali na kuinua watanzania wote ni nzuri kwa sababu watanzania wakiendelea watakidhi soko la bidhaa nyingi za ndani na kuchangia uchumi wanapotumia kipato chao kununua bidhaa mbalimbali. Kwa mfano, makampuni ya simu yanachangia sana ajira na uchumi katika Afrika ya mashariki.

    ReplyDelete
  5. Cool. Empirical. Analytical.Informative.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...