SIMU.TV: Rais Magufuli ampokea rais wa Sudani Kusini Salva Kiir Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kuwasili leo asubuhi; https://youtu.be/G3-SOq8b23A
SIMU.TV: Katibu mkuu wa EAC anayemaliza muda wake Dkt. Richard Seziberi akimuelezea rais Salva mafanikio nchi yake itakayoyapata EAC; https://youtu.be/BWlLpTRAmLY
SIMU.TV: Mh.Mahinga akieleze utekelezaji wa makubaliano ya mikataba ya amani pamoja na masuala ya wakimbizi nchi za Afrika Mahsariki; https://youtu.be/KKqrdy25qvI
SIMU.TV: Rais Magufuli asimamia utiaji saini wa mkataba wa Sudan kusini kujiunga na jumuiya ya afrika mashariki baada ya kukidhi vigezo; https://youtu.be/vX6Fax0b90o
SIMU.TV: Rais Kiir akielezea matarajio ya nchi yake katika kurejesha amani katika nchi yake pamoja na ubalozi mpya wa Sudani hapa nchini; https://youtu.be/zZkQctfb7XA
SIMU.TV: Rais Magufuli aelezea umuhimu wa nchi ya Sudani Kusini kukubaliwa kujiunga na jumuiya ya Afrika Mashariki; https://youtu.be/pxc2D7TSRxA
SIMU.TV: Rais Magufuli na mgeni wake rais Salva Kirr wakisaini fomu maalum kwaajili ya kuhifadhi katika kumbukumbu ya tukio la utiaji saini lililofanyika leo; https://youtu.be/S2Ljeb-BN0M


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...