Meneja elimu kwa mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, TRA, Diana Masalla akizungumza na wanachama cha umoja wa usafirishaji abiria hapa nchini (TABOA), kuhusiana na ulipaji wa kodi kwa hiyari katika sekta ya usafirishaji.
MAMLAKA ya mapato Tanzania (TRA) imetoa
mafunzo kwa Wanachama cha wasafirisha abiria (TABOA) jijini Dar es
Salaam leo, kuhusiana na wanachama hao kulipa kodi kwa hiyari bila
shuruti.
Meneja wa elimu kwa Mlipa kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Gabriel Mwangosi akizungumza na wanachama cha umoja wa usafirishaji abiria hapa nchini (TABOA) jijini Dar es Salaam leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...