Mwenyekiti mpya wa Chama cha Wafanyakazi  (TUGHE) tawi la TUMESHERIA Bi. Anjela Shila akiwashukuru wajumbe wakati wa uchaguzi wa viongozi.
  Afisa Tawala wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bi. Suzana Magoti akizungumza machache kwa niaba ya uongozi wa Tume wakati wa uchaguzi wa viongozi wa TUGHE tawi la TUMESHERIA.
Viongozi pamoja na Wajumbe wapya wa TUGHE tawi la TUMESHERIA wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufanya uchaguzi, wa kwanza kulia ni muwakilishi wa TUGHE mkoa Bw. Alquine Masubo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...