“Tumechukua hatua kadhaa, taifa limedhalilishwa” ni sehemu ya maneno ya mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini New York balozi Tuvako Manongi akizungumzia tuhuma za unyanyasaji wa kingono zinazowakabili walinda amani 11wa nchi hiyo walioko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC.
Katika mahojiano maalum na Joseph Msami, balozi Manongi amesema kuwa amearifiwa na wizara ya mambo ya nje kuhusu namna tuhuma hizo zilivyokera taifa na akasema vitendo hivyo havitafumbiwa macho.
Bila kuuma maneno Balozi Manongi anaanza kwa kusema hatua stahiki zilizochukuliwa.
KUSIKILIZA BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Taarifa zingine zimesema kuna shutuma za mimba. Si wachukue DNA tu. Mnatuma timu za uchunguzi gani? Msitetee askari ambao wanachafua jina la nchi yetu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...