Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akihutubia wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Matokeo ya Utafiti wa Watu wenye Uwezo wa Kufanya Kazi wa mwaka 2014/2015 uliofanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS). Uzinduzi huo umefanyika jana Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Matokeo ya Utafiti wa Watu Wenye Uwezo wa Kufanya Kazi wa mwaka 2014/2015 uliofanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS). Uzinduzi huo umefanyika jana Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akionyesha vitabu vya ripoti ya Utafiti wa Watu Wenye Uwezo wa Kufanya Kazi wa mwaka 2014/2015 wakati wa uzinduzi wa ripoti hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee Hall Jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Utafiti huu unahitaji wanaohusika watengeze program ya kuhamasisha watu kufanya kazi wale wasioziona fursa za kulima biashara au wanaokwamishwa na mitaji wawezeshwe kuelewa jinsi ya kuzichangamkia.

    ReplyDelete
  2. The mdudu, mimi niwe mkweli watanzania wengi wetu ulevi ndio unao tumaliza hasara za ulevi ni hizi hapa Unakua mvivu, mwehu, mjinga, fisadi, kupoteza muda kwenye michezo ya ajabu ajabu kama vile pool, kamali, kupenda ngono zembe, ufusika, umaraya, ujambazi na kutojielewa, sasa ombi langu kwa watanzania wote popote mlipo tuacheni kufanya mambo ya ajabu ajabu tufanyeni kazi kwa uzalendo kila mmoja wetu aseme Tanzania kwanza ujinga na upumbavu baadae so hapa neno Tanzania kwanza lina beba mambo lukuki kama vile kufanya kazi kwa kujituma zaidi iwe shuleni, iwe kazini, kwenye biashara na huku ukiipinga rushwa kwa nguvu zote basi Uingereza na USA wangetuomba misaada ndani ya mwaka trust me my people's

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...