Ofisa Mwelekezi wa Programu ya kukuza Ajira zenye staha kwa Vijana Dar es Salaam (YEID) kupitia Elimu ya Biashara na Ujasiriamali,Vituo vya Taarifa na Elimu ya kujiajiri. Bi. Emiliana Muchu akiwasilisha mada kuhusu mafanikio ya program hiyo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa nne wa Kamati inayokutanisha wadau wa program hiyo.Programu hiyo inatekelezwa kwa ubia baina ya asasi za Tanzania Youth Vision Association (TYVA), Open Mind Tanzania(OPM) na Youth of Afrika (YOA).
Mratibu wa Programu ya kukuza Ajira zenye staha kwa Vijana Dar es Salaam,kupitia Elimu ya Biashara na Ujasiriamali Bw.Bw. Dominic Ngunguru akiwasilisha mada kuhusu mafanikio ya program hiyo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa nne wa Kamati inayokutanisha wadau wa program hiyo.Programu hiyo inatekelezwa kwa ubia baina ya asasi za Tanzania Youth Vision Association (TYVA), Open Mind Tanzania(OPM) na Youth of Afrika (YOA).
Baadhi ya wajumbe wa Kamati kuhusu Programu ya kukuza Ajira zenye Staha kwa Vijana Dar es Salaam (YEID) wakifuatilia mada kuhusu mafanikio ya program hiyo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa nne wa Kamati inayokutanisha wadau wa program hiyo.Programu hiyo inatekelezwa kwa ubia baina ya asasi za Tanzania Youth Vision Association (TYVA), Open Mind Tanzania(OPM) na Youth of Afrika (YOA).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...