Je unasherehe yeyote hivi karibu na ungependa kupata usafiri wa kisasa kwa bei nafuu?? Bashi wala hujachelewa, VIP Car Rental Ltd wapo kwa ajili yako ni wakodishaji magari ya sherehe kwa bei nafuu na yenye ofa kem kem. Wanawakaribisha wakazi wote wa Jiji la Dar es salaam na maeneo ya jirani. Wapo Mbezi Beach, Bagamoyo Rd zilipo kumbi za sherehe za Sun Set Social Halls au waweza fika Sinza Deluxe Hotel kwajili ya booking. wapigie kwa Namba za simu 0714 000669.
Karibuni.
Karibuni.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...