Mmoja ya majaji wa shindano la Airtel Trace Music Stars ambaye ni mtangazaji wa TV mahiri, Mwanamuzi, Mwigizaji na mfanya biashara , Jokate Urban Mwegelo (wa kwanza kushoto) akiongea na jopo la majaji wenzake wakati wakichagua vijana waliofudhu kuingia kumi bora katika wiki hii. Zoezi hili lilifanyika katika ofisi za makao makuu ya Airtel Tanzania zilizoko Moroco jijini Dar es Saalam Jana
Mmoja ya majaji wa shindano la Airtel Trace Music Stars mtunzi wa nyimbo na mwaimu wa Muziki Tonny Joett (aliyesimama) akisoma na kupigia maoni ya majaji wenzake juu ya washiriki waliofanya vizuri katika shindano la Airtel Trace Music Stars na kuingia katika kumi bora ya wiki hii wakati majaji hao walipokutana kufanya uchaguzi.
Mmoja ya majaji wa shindano la Airtel Trace Music Stars mtunzi wa nyimbo na mwaimu wa Muziki Tony Joett akitoa hoja kwa jopo la majaji wenzake wakati wakichagua vijana waliofudhu kuingia kumi bora katika wiki hii. Zoezi hili lilifanyika katika ofisi za makao makuu ya Airtel Tanzania zilizoko Moroco jijini Dar es Saalam Jana. Pichani ni mtengenezaji wa Muziki na mfanyabiashara Luciano Gadie Tsere (katikati) na Lucy T. Ngongoseke, mratibu wa Airtel Trace Music Stars.
Washiriki 10 waingia ndani ya kumi
bora ya wiki ya shindano la Airtel Trace Music Stars
bora ya wiki ya shindano la Airtel Trace Music Stars
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Leo imetangaza washiriki kumi bora wa wiki wa shindano kubwa barani Afika lijulikanallo Airtel Trace Music Stars lililolizinduliwa mwanzoni mwa mwezi wa pili na kuwapatia fursa vijana kuonyesha vipaji vyao.
Kusoma zaidi bofya HAPA.
Kusoma zaidi bofya HAPA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...