Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Masalia ya kesi za Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (Mechanism for International Criminal Tribunals-(MICT) inayojengwa katika eneo la Lakilaki jijini Arusha, Mhe. Theodor Meron.

Rais huyo alifika Wizarani kwa ajili ya kujitambulisha kwa Mhe. Waziri, kumweleza maendeleo ya ujenzi wa Mahakama hiyo pamoja na kuishukuru Serikali ya Tanzania kwa ushirikiano na mchango mkubwa inaotoa katika kufanikisha ujenzi huo. Pia aliipongeza Tanzania kwa kuwa mstari wa mbele katika kusimamia utawala wa sheria na haki.
Sehemu ya ujumbe uliofuatana na Mhe. Meron, Rais wa MICT.
Picha ya pamoja 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...