Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akutana na Wamiliki wa Mabenki Nchini ili kuzitambua Hati Miliki za Ardhi za Kimila katika kutoa mikopo kwa Wakulima, wajenzi na Wajasiliamali leo jijini Dar es salaam katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT).
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiwasisitiza Wamiliki wa Mabenki Nchini kuzitambua Hati Miliki za Ardhi za Kimila katika kutoa mikopo kwa Wakulima, wajenzi na Wajasiliamali alipo kutana nao leo jijini Dar es salaam.


Mheshimiwa waziri kuna mdororo wa kiuchumi unainyemelea Tanzania. Biashara nyingi zimezorota. Tatizo kubwa ni kodi nyingi mno. Kwa kuwa serikali imeamua kukusanya kodi basi ufute baadhi ya kodi zisizo na mashiko. Hili litasaidia kuchangamsha biashara na serikali itaendelea kukusanya kodi za msingi. Biashara ikidorora hata ukusanyaji wa kodi utapungua. Sekta ya ujenzi imeadhirika sana. Miradi mikubwa ikisimama inatishia uchumi wa nchi. Lazima kutafuta njia za haraka za kuchangamsha biashara na ujenzi. Angalieni kodi zenu hizo.
ReplyDelete