Nyomi ya mashabiki wa muziki waliofika kwenye Tamasha la Vodacom Kichuo zaidi lillilofanyika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)
.Mwanamuziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul “Diamond Platinum’s” akiwaimbia kwa hisia wakati wa mashabiki wake waliofika kwenye Tamasha la Vodacom Kichuo zaidi lillilofanyika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) jana.
Msanii wa muziki wa kundi la Mafikizolo kutoka Afrika ya kusini,Theo Kgosinkwe akionyesha umahiri wake wa kucheza muziki katika Tamala la Vodacom kichuo zaidi lililofanyika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) jana
Mwanamuziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul “Diamond Platinum’s” pamoja na kundila muziki la Mafikizolo wakiimba wimbo wao wa Color of Afrika wakati wa Tamasha la Vodacom Kichuo zaidi lillilofanyika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)
Msanii wa muziki wa kundi la Mafikizolo kutoka Afrika ya kusini,Theo Kgosinkwe akitumbuiza katika Tamala la Vodacom kichuo zaidi lililofanyika jana katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...