Jengo la Benki ya Azania lililopo Mtaa wa Samora jijini Dar es Salaam, muda mchache uliopita limenusurika kuwaka moto muda huu, baada ya kutokeza Shoti ya umeme nje ya jengo hilo katika maegesho ya magari, chanzo cha shoti hiyo hakikuweza kujulikana kwa haraka.
Moshi ukiwa umetanda eneo hilo, huku moja ya waya ukionekana kuning'inia baada ya kukatika.
Waya wa umeme ukiendelea kuwaka moto.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...