Machinga na wafanyabiashara maeneo ya pembezoni mwa barabara ya msimbazi bado kitendawili leo asubuhi biashara zimeendelea kama kawaida na hapo pichani ni sehemu ya majibizano kati ya askari polisi na kijana aliyeweka biashara ya popcone machine.Pia bado tatizo lipo kwa watumiaji wa BRT road kama unavyoona hapo maguta yakipita, licha ya katazo kutumia barabara hizo.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...