
Makamu wa Rais mstaafu Dr Mohammed Gharib Bilal akizungumza wakati wa kufungua rasmi kongamano la nane la kukaribisha mwezi mtukufu wa ramadhani liloandaliwa na kalamu education foundation (kef), katika ukumbi wa julius nyerere convention centre jijini dar es salaam.

Mkurugenzi mtendaji wa benki ya Amana Dr.Muhsin S.Masoud akitoa neno kwa wageni waalikwa, ambapo amana bank ni wadhamini wakuu wa kongamano hilo.

Mke wa imam Qasim - Hasaina M.khan katika kongamano la nane la kukaribisha mwezi mtukufu wa ramadhani lililofanyika jijini dar es salaam, kushoto kwake ni mtwangi.

Baadhi washiriki wa Kongamano hilo
Makamu wa Rais mstaafu Dr Mohammed Gharib Bilal (wa pili kushoto) akimkabidhi zawadi imam qasim ibn ali khan kutoka marekani (kushoto), wanaoshuhudia ni mwenyekiti wa kamati ya maandalizi na rais wa kef mohamed kamilagwa(kulia) pamoja na mkurugenzi mtendaji wa benki ya amana dr.muhsin s. masoud(wa pili kulia)

Imam Qasim Ibn Ali khan kutoka Marekani akitoa mada wakati wa kongamano la nane la kukaribisha mwezi mtukufu wa ramadhani liloandaliwa na kalamu education foundation (kef), jana jijini dar es salaam.
Baadhi ya Washiriki wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri kwenye kongamano hilo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...