Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London wakati alipowasili ubalozini hapo kuzungumza na watanzania waishio nchini humo Mei 14, 2016.. Kushoto ni Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe. Msafiri Marwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha wageni wakati alipowasili kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London kuzungumza na Watanzania Mei 14, 2016. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki , kikanda na Kimataifa, Dkt Augustine Mahiga na kushoto ni Jaji Mkuu wa Tamzania Mhe. Mohamed Chande Othman
Baadhi ya Watanzania waishio nchini Uingereza wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London Mei 14,2016
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania Waishio nchini Uingereza kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London Mei 14, 2014. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Kikanda na Kimataifa, Dkt Augustine Mahiga. Kushoto ni KaimuBalozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe. Msafiri Marwa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...