Mkazi wa Kijiji cha Kemuyak wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha Bwana Kalangangwe Lanya Vii akitoa maoni yake kwa Kamati ya kukusanya Maoni ya kuboresha Sera ya Taifa ya Ardhi ya 1995 kuhusu suala la kupewa kipaumbele utoaji wa hati miliki kwa wanavijiji hasa wafugaji.
Wakazi wa kijiji cha Oldonyo Sambu wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha wakijaza dodoso la kukusanya maoni ya kuboresha Sera ya Taifa ya Ardhi ya 1995 ili kuwa na Sera ya Ardhi itakayotatua changamoto zao na nchi kwa ujumla.
Betha Muluu Afisa Ardhi na Maliasili wilaya ya Ngara mkoani Kagera akitoa maoni yake kwenye Kamati ya kukusanya Maoni ya kuboresha Sera ya Taifa ya Ardhi ya 1995 ilipokuwa mkoani Mwanza.
Mjumbe wa Kamati ya kukusanya maoni Baadhi ya kuboresha Sera ya Taifa ya Ardhi ya 1995 Bw. David Malisa (shati ya mistari) akimpa maelekezo jinsi ya kujaza Dodoso la Kukusanya Maoni Mkazi wa Kijiji cha Nyanguge Magu Mkoani Mwanza.

Hii migogoro ya ardhi inahitaji kupatiwa ufumbuzi ikiwemo kuelewa chimbuko lake. Ardhi ni raslimali muhimu sana kwa wananchi wa Tanzania suluhisho la migogoro mingi litafutwe likizingatia umuhimu wa kuangalia maslahi ya jamii zinazoishi katika maeneo husiku na uwezo wa ardhi kukidhi mahitaji yao na ya vizazi vijavyo.
ReplyDelete