SIMU.TV: Hii hapa randama ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya habari, tamaduni, sanaa na michezo kwa waka wa fedha 2016/2017. https://youtu.be/RMm7x7SwGbI
SIMU.TV: Mhe. Suleiman Jafo atoa majibu ya namna serikali ilivyojipanga kutatua tatizo la maji kwa wananchi wa vijijini. https://youtu.be/3O_iV7MZru0
SIMU.TV: Mbunge wa Chamwino Mhe. Joel Mwaka aitaka serikali kutoa hatma ya ujenzi wa madaraja mawili yaliyopo kati ya barabara ya Chamwino kuelekea kaskazini. https://youtu.be/ThxpsjbSenA
SIMU.TV: Je shirika la ndege la Tanzania ATCL ni shirika la pamoja kati ya Tanganyika na Zanzibar, Zanzibar ina asilimia ngapi katika shirika hilo? https://youtu.be/Il2w94zXskc
SIMU.TV: Je ni lini serikali italeta marekebisho ya sheria ya NECTA ili kuondoa nguvu ya waziri kutoa maelekezo bila kuhoji? Mhe. Waitara aihoji. https://youtu.be/3O_iV7MZru0
SIMU.TV: Hii hapa mikakati wa serikali juu ya kuanzisha benki ya wafanyabiashara wakubwa na wadogo ili kuwawezesha wajasiliamali kupata huduma bora. https://youtu.be/dE68_QSKXbs


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...