Mbunge WA jimbo ilemela na Naibu waziri a Aridhi nyumba na maendeleo ya makazi Dkt.Angeline Mabula amempokea mtoto Getrude mjini dodoma baada ya kuwasili kutoka nchini marekani alipokwenda kuwa wakilisha maripota watoto duniani ktk mkutano WA UN.mtoto Getrude ni mwana ilemela anae soma shule ya mnarani wilayani hapa.awapo bungeni kesho mtoto Getrude atapata nafasi ya kutambulishwa rasmi bungeni na atakutana na viongozi mbalimbali WA serikali.
Home
Unlabelled
Mtoto Getrude ni fahari yetu baada ya kung'aa Umoja wa mataifa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hong era sana Mbunge kwa kumtambua kijana wetu. Hawa ndio watu tungetarajia Wizara yetu ya mambo ya nje wangewatangaza lakini wako busy kusafiri tu na kugombana na wakenya.
ReplyDelete