Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibuni au viumbe wa ajabu Anunnaki aliens inayoongozwa na mwanamuziki mashuuri Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja inaungana na wadau wote wa habari duniani kwa kuwatakia kila la heri na baraka wanahabari na vyombo vyao kwa kusherehekea siku ya Uhuru wa Habari duniani.Bendi inaungana na wadau wote wa habari kwa wimbo maarumu wa "Uhuru wa Habari" utunzi wake kamanda ras Makunja .
Sikiliza song: Uhuru wa Habari.
Home
Unlabelled
NGOMA AFRICA BAND YAWATAKIA HERI YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
duh maafande wa ffu ughaibuni umetisha na ngoma yenu hii kazi nzuri sana
ReplyDeleteZe ngoma africa band aka ffu aka viumbe wa ajabu watoto wa mbwa bwakaaaa !!
ReplyDeleteankal michuzi hawa vichaa wetu ffu hivi wana akili nzuri kweli? inawezekana wamedata akili na ngoma zao
ReplyDeleteWatoto wa mbwa Ngoma Africa band kanyaga twende bwakaaa wuh wuh wuh
ReplyDelete