Bendi Maarufu ya Ngoma Africa imetajwa kuwa ni bendi iliyovuka dhoruba na kushika chati barani ulaya. hayo wameandikwa katika moja chombo cha habari barani ulaya AFRONEWS kwa kuitaja bendi hiyo kuwa imejijengea ngome imara na kuwashika washabiki wa kimataifa kisawa sawa.
soma zaidi bofya katika link hiyo hapo chini
How Ngoma Africa Band has survived the storm to become one of the most sought-after African bands in Germany http://www.afronews.de/entertainment/ngoma-africa-band-survived-storm-become-one-sought-african-bands-germany/


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...