Home
Unlabelled
RAIS DKT MAGUFULI AKIONGEA NA WANANCHI AKIWA NJIANI KUTOKA DODOMA KWENDA ARUSHA IJUMAA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mpendwa Dr. Pres. Magufuli nadhani unamjua Robin Hood.
ReplyDeleteAlinyanganya mali matajiri na kuwapa masikini. Tatizo kubwa la njia hiyo ya Hood ni kuchukua bure mali iliyozalisha kwa juhudi na fedha kisha kuwapa masikini bure bila jasho wala mtaji. Hili lilikuwa ni tatizo la kimaadili na kisheria. Tuanomba usiwe Robin wa Tanzania. Bali nunua sukari nyingi ulete sokoni ili hao wahujumu soko liwalazimshe kuuza sukari kwa bei ya chini.
Pia kosa la raia masikini wa Robin ni kukubali kupokea mali iliyozalishwa kwa fedha na jasho kisha kuitumia bure bila aibu. Hilo ni kosa la kimaadili ambalo ni sababu ya watu kula rushwa, kuiba, nk. bila haya. Natoa wito kwamba sukari hiyo ikigawiwa bure tukate kuchukua bure bali tulipe fedha ambayo tunadhani ni stahiki ili tule riziki halali na Mwenyezi Mungu atatubariki.
Huyu ni Rais wa watu. Ninaamini kuna mafisadi na wale wanaochukizwa na utendaji wake mzuri kwa kutumikia wanyonge wanamhujumu. Maneno ya Lissu na ndumilakuwili wa upinzani toka chadema hawaitakii nchi hii mema. Wao wanadhani wapo bungeni kupiga mdomo na kupingana na serikali kwa kila jambo. Wanashangaza umma unaojitambua!
ReplyDeleteThis man deserves all our support. Tunahitaji uongozi wake. Tumuombee
ReplyDeleteWananchi watafurahia sukari ya bure lakini si uadilifu kula jasho la mtu mwengine bure. Kwani lazima mnywe chai?
ReplyDelete