Rais Yoweri  Kaguta Museveni wa Uganda akila kiapo rasmi kuwa Rais wa nchi hiyo leo Mei 12, 2016 katika viwanja vya Kololo, Jijini Kampala nchini humo na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Afrika akiwamo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Rais John Pombe Joseph Magufuli.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...