SIMU.TV: Shirika la umeme TANESCO limewatahadharisha wamiliki wa mabango ya matangazo ya umeme ambao hawajalipia kujisalimisha kabla sheria haijafuta mkondo wake. https://youtu.be/FMQOVY654WQ
SIMU.TV: Fahamu sababu iliyopelekea mechi ya mwisho ya ligi ya Uingereza kuharishwa katoka uwanja wa Old Trafford; https://youtu.be/IN7rk1jEjyU
SIMU.TV: Michuano ya mchezo wa golf uliyojumuisha washiriki 100 kutoka mikoa mbalimbali wahitimishwa rasmi katika viwanja vya Lugalo. https://youtu.be/03qfyNqmgVY
SIMU.TV: Hivi ndivyo uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro ulivyochimbika wakati Simba na Mtibwa Sugar wakilisakata kabumbu. https://youtu.be/TJ-hv35kPjw
SIMU.TV: Mwenge wa auhuru unaoendelea kukimbizwa visiwani Zanzibar kufungua miradi ya maendeleo itakayogharimu Sh.bil.3 .7;https://youtu.be/ XtTgkl2pkgI
SIMU.TV: Wakulima wa korosho katika wilayani Lindi wameiomba serikali kutafuta ufumbuzi wa madai yao ya malipo ya korosho. https://youtu.be/N--vkxTO1NA
SIMU.TV: Yajue mengi kutoka kwa mchambuzi wa masuala ya kisiasa na uchumi akikufafanulia kwa undani kabisa kuhusu tatizo la sukari nchini. https://youtu.be/CTvpJdxg1d4
SIMU.TV: Fahamu mambo mengi kutoka wataalamu wa kutatua matatizo ya kijamii wakikujuza kuhusu kwa athari za malezi duni kwa mtoto. https://youtu.be/3_2RamGPhdU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...