Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh,Samia Suluhu Hassan akitoa hotuba yake wakati wa hafla fupi ya kukabidhi Hundi za fedha kiasi cha Sh Bilioni moja zilizo tolewa na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa wakuu wa mikoa 19 kwa ajili ya Madawati katika wilaya 55 zinazopakana na Hifadhi za Taifa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Samia Hassan Suluhu akikabidhi Hundi kwa Mkuu wa wilaya ya Mvomero ,Betty Mkwasa kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro ikiwa ni mchango wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa ajili ya ununuzi wa Madawati katika shule zilizopo katika wilaya zinazipakana na Hifadhi za Taifa. Wengine kulia mwa Makamu wa Rais ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini Allan Kijazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Samia Hassan Suluhu akikabidhi Hundi kwa Mkuu wa wilaya ya Tarime,Glorious Luoga kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Mara ikiwa ni mchango wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa ajili ya ununuzi wa Madawati katika shule zilizopo katika wilaya zinazipakana na Hifadhi za Taifa. Wengine kulia mwa Makamu wa Rais ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini Allan Kijazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Samia Hassan Suluhu akikabidhi Hundi kwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka ikiwa ni mchango wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa ajili ya ununuzi wa Madawati katika shule zilizopo katika wilaya zinazipakana na Hifadhi za Taifa. Wengine kulia mwa Makamu wa Rais ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini Allan Kijazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Samia Hassan Suluhu akikabidhi Hundi kwa Mkuu wa mkoa wa Rukwa ,Kamishna wa Polisi Mstaafu,Zelothe Stephen ikiwa ni mchango wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa ajili ya ununuzi wa Madawati katika shule zilizopo katika wilaya zinazipakana na Hifadhi za Taifa. Wengine kulia mwa Makamu wa Rais ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini Allan Kijazi.
Kazi nzuri TAnapa, wenye uwezo wa kusaidia kutumia corporate social responsibility wafanye hivyo. Shule ziwe na fungu la kurekebisha madawati hayo ikiwemo kuajiri seremala wa kufanya kazi hiyo au kuongeza mengine ili zoezi liwe endelevu. Ni muhimu kujipanga kumaliza tatizo hili la madawati, madarasa chakavu au yasiyotosha siku zijazo za karibuni tukitumia mikakati mbali mbali ikiwemo kumaliza tatizo la matundu ya choo kwa kutenga fungu ili tuzungumzie zaidi kuboresha ufundishaji na uelewa wa wanafunzi.
ReplyDelete