Home
Unlabelled
UMEGUNDUA NINI KWENYE HII PICHA?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kijpele uchungu,unaendesha motorbike huku unaongea na simu.
ReplyDeleteUsalama haujazingatiwa dereva hana helmet abiria pia,na maongezi ya simu kama kawa
ReplyDeleteNimegundua Mdau wa globu yetu!!!
ReplyDeletePikipiki na simu mkononi!!!!
ReplyDeleteDereva anaongea kwenye simu
ReplyDeleteMwendeshaji(Dereva) Anaongea na simu!Ni HATARI kama ikitokea dharua!
ReplyDeleteDereva wa boda boda anaongea na simu.
ReplyDeleteHatari sana
Dereva wa bodaboda anaendesha na huku anatumia simu, which is extremely dangerous.
ReplyDeleteRAHA JIPE MWENYEWE
ReplyDeleteSheria za kiusalama kwa vyombo vya barabarani bado hazizingatiwi kama tuonavyo hapo:-
ReplyDelete1. Kwanza muendesha pikipiki/bodaboda hiyo ndio kwanza yupo kwenye simu na ushahiei muangalie kwenye hiyo sight mirror ya gari iliyopo mbele yake iki reflect image yake, huo ni ushahidi tosha!
2. Muendesha na mpakiwaji wote hawajavaa kofia za kiusalama (Helmet) khususan kwa vyombo kama hivyo.
3. Mpakiwaji pia na yeye yaonekana kama kakaa tu kwenye kiti kashuwarika, maana hata ile attention ya kuwa yupo kwenye chombo cha moto (cha barabarani) haipo, hapo waki 'swerve' kidogo tu, kila mmoja ataangukia angle yake.
Mwendesha pikipiki anatumia simu huku akiwa anaendesha chombo hicho.
ReplyDeleteMwendesha pikipiki anatumia simu huku akiendesha chombo hicho.
ReplyDeletenimegundua kijipu upele kinahitaji kutumbuliwa. Bodaboda kwenye simu na kuendesha mkono mmoja.
ReplyDeleteHatari.
ReplyDeleteMwendeshaji wa piki piki anatumia mkono mmoja wakati mkono mwingine upo kwenye simu akiongea. Abiria wake naye ameshikilia kwa mkono mmoja mwingine upo kwenye shavu. Pia hawajavaa kofia.
Suka na biria wote wako hewani wanapiga simu
ReplyDeleteanaongea na simu huku anaendesha boda boda au
ReplyDeleteusalama ziro kabisa,angalia mkono wa kushoto
ReplyDeleteUsalama wa abiria na dereva wa bodaboda,haukuzingatiwa kabisa,wote hawakuvaa Helment,kwa ajili ya kukinga kichwa pindi ajali ikitokea,mbaya zaidi umakini wa dereva ni sifuri,kwani ana maongezi na simu yake.kitu ambacho ni khatari zaidi.
ReplyDelete