Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, akizungumza na wadau mbalimbali wa sayansi (hawapo pichani) juu ya kuhamasisha watanzania kuweka mkazo katika Msomo ya sayansi na kukuza vipaji vya sayansi mashuleni. jiji Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Mtandao wa Shirikisho la Wanasayansi Chipukizi, Dkt.Gozibert Kamugisha akiwasalisha moja ya maada katika mkutano wa wandau wa sayansi, jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...