
MWENYEKITI wa Jumuia ya Alyamin Dkt. Omar Swaleh akimkabidhi Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo Msaada wa Maji na vidonge vya kutibu maji ya kunywa kwa ajili ya wagonjwa wa kipindupindu, (kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Juma Malik Akili.

MWAKILISHI
wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Andemichael Ghirmay, akizungumza
na Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo alipofika ofisini kwake
kukabidhi Vifaa vya kuchunguzia Maji.

MWAKISHI
wa WHO Zanzibar Dkt. Andemichael Ghirmay akimkabidhi Waziri wa Afya
Mahmoud Thabit Kombo moja ya Vifaa vya kuchunguzia Maji katika hafla
ilioyofanyika Wizara ya Afya Mnazi mmoja mjini Zanzibar.

MTAALAMU
wa Maji wa WHO Michael Habtu, akikifanyia majaribio kifaa cha
kuchunguzia maji huku Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akiangalia kwa
furaha.

MTAALAMU
wa Maji kutoka WHO Michael Habtu, akiwaonesha matokeo ya Maji
alioyapima kwa kifaa cha kuchunguzia maji huku Waziri wa Afya Mahmoud
Thabit Kombo akiangalia, wakwanza (kulia ) Katibu Mkuu Wizara ya Afya
Dkt. Juma Malik Akili na Mwakilishi wa WHO Dkt. Andemichael Ghirmay

SHEHENA ya Msaada wa Maji ya kunywa uliotolewa na Jumuia ya Alyamin kwa ajili ya wagonjwa wa kipindupindu Zanzibar.
PICHA NA ABDALLA OMAR – HABARI MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...