Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Hamza Johari akiongea wakati Mkutano wa wadau ulioandaliwa na Baraza la Ushauri la watumiaji wa huduma za Usafiri wa Anga TCAA-CCC kabla ya kuzindua tovuti yao. Uliofanyikia Makao Makuu ya TCAA Ukonga Banana.wengine ni Mwenyekiti wa Baraza Shaban Mtambalikena na Mjumbe wa Baraza Nelly Mwasongwe.
Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Hamza Johari, (kulia )akiongea wakati wa Mkutano wa wadau wa Baraza la Ushauri la watumiaji wa huduma za Usafiri wa Anga , ulioandaliwa na TCAA-CCC jijini Dar es Salaam, ambapo pia walizunduzua toviti yao. Wengine ni Mwenyekiti wa Baraza Shaban Mtambalike. Mjumbe wa Baraza Nelly Mwasongwe na Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza Debora Mligo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...