Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu akifika katika mahakama ya hakimu mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam mchana huu. Ikiwa jana Mbunge huyo alihojiwa na Jeshi la Polisi katika kituo cha Polisi cha Kanda maalumu ya Dar es Salaam na kutupwa Rumande mara baada ya kukosa dhamana.

Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu apandishwa kizimbani mchana huu katika mahakama ya hakimu mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu akionesha alama ya chama cha Democrasia na Maendeleo akiwa ndani ya Mahakama ya hakimu mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam muda huu.
Chonde chonde wabunge mwende kwenye majimbo yenu mliko chaguliwa mkatatue matatizo ya wananchi na hatupendi na wala hatutaki kuona rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli anaingiliwa kwenye majukumu yake achaneni nae kabisa ili apige kazi watanzania tuko nyuma yake
ReplyDelete