Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais -TAMISEMI, George Simbachawene akizungumza na wadau mbalimbali wakati wa uzinduzi wa Tawi la Benki ya DCB linaloitwa Benjamin Mkapa-City.leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya DCB Benki Balozi, Paul Rupia akizungumza katika uzinduzi huo ulio fanyika leo jijini Dar es Salaam, Wakati wa Uzinduzi wa Tawi hilo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais -TAMISEMI,
George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa DCB Benki leo jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...