SIMU.TV:
Polisi wafichua kikundi hatari, Lowassa ang’aka kuadimika kwa sukari,
JPM aibukia kwa mzee wa upako, Zitto atema cheche Dar es Salaam, Sendeka
Msichague wabunge ili wakashinde baa, Yanga yajichimbia Algeria, Nyota
kibao Simba wanataka Kusaini Yanga. https://youtu.be/oHz2N8jR728
SIMU.TV:
Waziri magembe aingizwa mkenge, Wabunge zaidi CHADEMA kikaangoni, Dr.
Shein sitovumilia mtu anayevuruga amani,Zitto tutajitoa mhanga, Lowassa
ang’aka kuadimika kwa sukari, Polisi mwanza wapambana kwa saa 16
wakamata silaha nzito, Professor Lipumba njia nyeupe uenyekiti
CUF.Mkwasa avunjia moyo baada ya Stars kuanguka. https://youtu.be/9Pp172bY-bQ
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...