Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Muzdalifat Farouk Hamadi katikati akiwa na Muakilishi wa Shirika la Halping Hand Muhammad Irfan Bashir kushoto wakimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Dk,Msafiri Marijani moja kati ya Vifaa vilivyotolewa Msaada na Jumuiya ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la Halping Hand kutoka marekani,katika Hospitali ya Mnazi mmoja Mjini Unguja.
Baadhi ya Vifaa mbalimbali vya Hospitali ambavyo vimetolewa Msaada na Jumuiya ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la Halping Hand kutoka marekani vikiteremshwa katika Hospitali ya Mnazi mmoja Mjini Unguja.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Muzdalifat Farouk Hamadi akitoa nasaha kwa mgeni rasmi na Waalikwa katika hafla ya kukabidhi msaada wa Vifaa mbalimbali vya Hospitali vilivyotolewa msaada na Jumuiya ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la Halping Hand kutoka marekani,katika katika Hospitali ya Mnazi mmoja Mjini Unguja. Muakilishi wa Shirika la Halping Hand Muhammad Irfan Bashir akitoa hotuba katika hafla ya kukabidhi msaada wa Vifaa mbalimbali vya Hospitali vilivyotolewa msaada na Jumuiya ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la Halping Hand kutoka marekani,katika Hospitali ya Mnazi mmoja Mjini Unguja.
Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Dk,Msafiri Marijani akitoa nasaha kwa niaba ya Naibu Waziri wa Afya Baada ya kupokea Msaada wa Vifaa mbalimbali vya Hospitali vilivyotolewa Msaada na Jumuiya ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la Halping Hand kutoka marekani,katika Hospitali ya Mnazi mmoja Mjini Unguja.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...