Kamera Yetu ilipata kuangazia baadhi ya Taswira kutoka katika Mji wa Tukuyu Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya kama ambavyo Taswira hapo juu ikionyesha moja ya Majengo yaliyopo katikati ya Mji wa Tukuyu Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya.
Ankal Michuzi Akivizia miwa kwenye moja ya shamba la miwa lililopo Tukuyu Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya.
Kijani Kibichi chenye Kumeremeta kikiwa kimezunguka baadhi ya Nyumba zilizopo Bondeni karibu na Soko Kuu la Tukuyu.
Baadhi ya Magari yakikatiza katika Barabara Kuu ya kuelekea Kasumulu, Itungi mpaka Malawi.
Machinjio ya Ng'ombe Tukuyu Mjini..
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG MBEYA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 02, 2016

    Tukuyu ina taswira nzuri, kijani kibichi kizuri, hiyo barabara kuu nzuri, mabati yenye kutu yanaashiria uhitaji wa kubadilishwa hivi karibuni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...