Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi, kijiji cha Mtama (hawapo pichani) wakati wa ziara yake katika Halmashauri Mkoa wa Lindi na Mtwara kuangalia usikivu wa vituo vya Redio na Televisheni vya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel( wa pili kulia) akizungumza na wawakilishi Kutoka Star Times wakati wa ziara yake katika Halmashauri Mkoa wa Lindi na Mtwara kuangalia usikivu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kulia ni Mkurugenzi wa Shirika hilo Dkt Ayoub Riyoba.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi kutoka kampuni ya Star Times na wanakijijji wa kijiji cha Mtama wakati wa ziara yake katika Halmashauri Mkoa wa Lindi na Mtwara kuangalia usikivu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kushoto ni Mwenyekiti wa Halmashuri ya Lindi Bw. Matei Makwinya.
PICHA NA WHUSM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...