Dada leo imetimu miaka 20 tangu utangulie mbele za haki. 
Bado ni vigumu kuamoni kwamba huko nasi tena.
Lakini tunafarijika kwa kuwa upo nasi kiroho
Pumzika kwa amani dada Rhoda Mwakyoma.
Unakumbukwa na kila mtu kila siku ipitayo.
Mola akupumzishe kwa amani huko uliko.
- Amen

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...