Waziri wa Maliasili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akikagua gwaride la maofisa wa ngazi za juu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) wakati wa kufunga mafunzo yao katika kambi ya Mlele mkoani Katavi.
Maofisa wa ngazi za juu wa Shirika la Hifadhi za Taifa,(TANAPA) wakila kiapo cha utii wakati wa kumaliza mafunzo ya kijeshi yaliyofanyika kambi ya Mlele mkoani Katavi.
Maofisa wa ngazi za juu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) wakionesha umahiri katika kulenga Shabaha wakati wa kufunga mafunzo ya kijeshi kwa maofisa hao yaliyofanyika kambi ya Mlele mkoani Katavi.
Waziri wa maliasili na Utalii ,Prof Jumanne Maghembe akitizama matundu ya risasi wakati wa zoezi la ulengaji shabaha kwa maofisa wa ngazi za juu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) ,mafunzo yaliyofanyika kambi la Mlele mkoani Katavi.


Majeshi yanakuwa mengi zaidi wakati jeshi la msingi (JWTZ) wangeweza kulinda hizo mbuga bila tatizo. Tena hata hao majangili wasingesogelea.
ReplyDelete