David Nabarro, Mshauri Maalum wa Katibu Mkuu kuhusu utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu ( Agenda 2030) na Mkataba wa Mabadiliko ya Tabia nchi, akizungumza wakati wa Mkutano usio rasmi wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa siku ya jumatatu, na uliopokea pamoja na taarifa nyingine Ripoti ya Jopo la Ngazi ya Juu kuhusu Mwitikio wa Kimataifa wa Majanga ya Afya, Jopo hilo lililokuwa chini ya Uongozi wa Rais Mstaafu wa awamu ya Nne wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete liliundwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw, Ban Ki Moon, April 2015. Katika mkutano huo ambao Mwenyekiti wa Jopo Kikwete ( kwenye screen) aliongeoa kwa njia ya video conference kutokea Dakar Senegal, Ban Ki Moon amesema Umoja wa Mataifa na Shirika la Afya Duniani wameanza kutekeleza baadhi ya mapendekezo ya Jopo.
Kwa tarifa kamili BOFYA HAPA
Kwa tarifa kamili BOFYA HAPA



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...