Picha ya Marehemu Hezron Polepole Kinyangidzi.

Jaji Warioba na Mkwewe wakitoa heshima ya mwisho

Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim akiweka udongo kaburini

Mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Humphrey Polepole akiweka udongo kwenye kaburi la Baba yake Mzee hezron Polepole.

Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mzee Joseph Sinde Wariobaakiweka udongo kwenye kaburi la Baba yake Humphrey Polepole.

Humphrey Polepole akiweka shada la maua kwenye kaburi la Baba yake mzazi aliyezikwa  Juni  26 ,2016 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...